Utapata kusikia mengi kutoka kwa Mkongwe 'Baba Halehale' pichani mmoja wa wacheza Disco waliosumbua enzi hizo kipindi cha RTC club na Continental by Night atagusia mengi kuhusu madj wakali kipindi cha BMC akina DJ Peter Pantalakis, Choggy Sly,Dj Kalikali na Dj Say Do...
Stay Tuned.!!
0 comment:
Post a Comment