Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya kushoto
Akishirikiana na Mkurugenzi Mkuu wa World Lung Foundation(wa pili
kushoto)Dr Nguke Mwakatundu kukata utepe wakati wa Uzinduzi wa Nyumba za
Watumishi wa Afya katika kituo cha Afya Nguruka Wilayani Uvinza Mkoani
Kigoma.
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akikata utepe Ikiwa
ni Ishara ya ufunguzi wa Nyumba zilizo jengwa kwa hisani ya WLF kwa
ajili ya watumishi wa Afya katika kituo cha Nguruka Wilayani Uvinza
Mkoani Kigoma.
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akikagua moja ya
Nyumba za Watumishi wa Afya zilojengwa kwa hisani ya WLF Wilayani Uvinza
Mkoani Kigoma
.Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya(wa tatu
kushoto)akifatiwa na Mkurugenzi Mkuu wa WLF Dr Nguke Mwakatundu katika
picha ya pamoja na Baadhi ya wataalamu wa Afya Wilayani Uvinza Mkoani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment