Bukobawadau

AJALI MBAYA YATOKEA BUKOBA WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO


Ajali hiyo iliyohusisha gari aina ya Mitsubish Canter na Fuso iliyokuwa ikiendeshwa na Bw Farouk (Mwarabu) na Dreva mwingine ambaye jina lake halikufahamika mara moja
 (wawili waliofariki katika ajali hiyo ni madreva wa magari hayo).
Ajali hiyo imetokea jioni ya jumanne July 7,2015 majira ya saa 1 katika eneo la Nkindo nje kidogo ya Mji wa Bukoba baada ya magari hayo kugongana uso kwa uso 
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau