SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

18 July 2015

DIAMOND ATWAA TUZO #MTVMAMA2015‎

Tuzo za MTV MAMA 2015 zinazoendelea Usiku huu huko Durban South Africa,tayari Msanii  Diamond  amenyakua tuzo moja ya#‎BESTLIVE‬,nao PSquare‬ tayari wameshinda tuzo moja ya  #BEST GROUP na PersonalityOfTheYear‬ ni tuzo imechukuliwa na Trevornoah wa South Africa.
 OC Ukeje and Terry Pheto ‪#‎MTVMAMA2015‬:Red Carpet
 South African Biggest rapper, AKA
 2Face Idibia #‎MTVMAMA2015‬:Red Carpet
Picha mbalimbali,wasanii wakiwa katika Red carpet
 #MTVMAMA2015‎ Mchakato unaendelea,Endelea kuwa nasi 

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU