Wilfred Muganyizi Rwakatare akiongozana na wafuasi wake mara baada ya kutangazwa mshindi wa kura za maoni Ubunge Chadema Jimbo la Bukoba mjini katika uchaguzi uliofanyika jioni ya leo . 22
Matokeo ya kura za maoni ni kama ifuatavyo;Jumla ya kura zilizopigwa ni 178,jumla ya Wagombea ni 7;Matokeo:Lwakatare kura 87,Kipara Masoud 53,Meza kura 18,Pereus kura 2,Wakili Matias Rweyemamu 2,Mwl.Aidan Mganyizi 7,Basheka Jovitus Josephat kura 5
Wanachama na wafuasi wa Chadema katika hisia tofauti kufuatia mchakato huu.
Muonekano Ukumbini baada ya matikeo kutangazwa
Kushoto ni Mr. Valerian Mgombea Ubunge Chadema jimbo la Nkenge
#SiasazaBukoba
0 comment:
Post a Comment