UPDATES: Mr Valerian Rugarabamu pichani aongoza matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA Jimbo la Nkenge
1.Valerian Rugarabamu kura 156
2.Salimu Abubakary 82
3.Meshaki Nicus 18
4.Samuel Rumanyisa 17
5.Thomas Matabaro 5
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comment:
Waiyuka Valerian. Kazi moja sasa, kupambana na atakayetiapua toka kwa magamba
Safi sna kaka hakikisha unalitetea ilo jimbo toka kwa mwana mama uyo hna maana.
Post a Comment