Bukobawadau

SUMMIT YA UKAWA AT WORK

 Wakati jamaa wanaendelea kuparurana huko Dodoma, UKAWA iko stable ikiendelea na mikakati kuelekea uchaguzi mkuu namna ya kuiondoa CCM na kuongoza serikali.
Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga mikakati ya umoja huo kuelekea kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kuongoza serikali. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa NLD, Tozi Matwange, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Willibroad Slaa, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa NLD, Dkt. Emmanuel Makaidi na Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi, Mosena Nyambabe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau