Bukobawadau

TAARIFA YA KIFO CHA FRED MBONEKO

DK. VENANT MBONEKO wa Upanga ,Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha Mdogo wake FRED MBONEKO kilichotokea hospitali ya Kairuki Dar es salaam usiku wa kuamkia jana
Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa tarehe 24 July 2015,Nyumbani  Kijijini Kigalama Kanyigo - Bukoba .
Habari ziwafikie Omulangira Daudi Mboneko,Omwana Maria Mboneko,Omulangira Alkard Kataruga ,Omwana Foroda Rutinwa ,ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia 


"Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe."
Next Post Previous Post
Bukobawadau