Hekaheka za hapa na pale kwa wakazi wa Mji wa Bukoba zikiendelea.
Mahali hapa ni (tupendane Street) katikati ya Mji wa Bukoba
Wenyeji wa Mitaa ya Nyamkazi Bukoba katika utayali wa kutega Senene kama inavyo onekana pichani ni Mapipa na Mabati yanayotumika kwa kuwekewa taa zenye mwanga mkali ikiwa ni hatua ya mawindo ya senene.
Mjengo wa fulani uliopo Mitaa ya Nyamkazi
Barabara ya Nyamkazi jirani na Uwanja wa Ndege,maeneo maarufu kwa upatikanaji wa kitoweo jamii ya panzi kijulikanacho kama 'Senene'
Tunakushukuru sana wewe msomaji kwa kuendelea kufurahi mtandao wetu kwa siku ya leo
Taswira mbalimbali maeneo kati ya Mafumbo na Nyamkazi ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba
Makao ya Cosad Nyamkazi kwa hisani kubwa ya Mh. Balozi Kagasheki
Kijana Kelvin Mtensa na mwenzake mbele ya Camera yetu
Moja ya nyumba kali yenye kupendeza iliyopo mitaa ya Nyamkazi Mjini Bukoba
Ukanda wa beach ,Camera yetu mchangani Kiroyera
Vijana wakifurahia jioni ya Siku fukweni Kiroyera.
Pande za Kiroyera maboresha ya mazingira na huduma yakifanyika
MUHIMU BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Kwa mbalimbali biashara ya Senene ikiendelea...
BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa
nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ,pia kwa taarifa au shughuli yotote
kama kurusha habari na Covarage ya
matukio kwa ajili ya kumbukumbu na ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote
dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043, 0715
505043 ,0768 397241,0673 505045
Email:bukobawadau@gmail.com
Insta:@bukobawadau
0 comment:
Post a Comment