SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

31 August 2015

BREAKING NEWS:DR KUZUNGUMZA KESHO

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilbroad Slaa kesho Jumanne Septemba 1, 2015 atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano na waandishi wa habari aliouandaa katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Mkutano huo utakaofanyika mchana kuanzia saa nane, utarushwa moja kwa moja na vituo vya televisheni na mitandao ya jamii
Source Star Tv

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU