CCM BUKOBA YAFANYA MKUTANO WA HADHARA KUWATAMBULISHA WAGOMBEA WA UDIWANI NA UBUNGE
Sehemu ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) BUKOBA Mjini wakimpokea kwa shangwe Mh.Balozi Khamis Kagasheki wakati akiwasili katika mkutano wa hadhara wa chama hicho wa kuwatambulisha wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge uliofanyika leo Aug 15 katika Uwanja wa Uhuru.
Balozi Khamis Kagasheki akipokelewa kwa shangwe na wanachama wa Chama cha mapinduzi CCM waliohudhuria mkutano wa hadhara wa kuwatambulisha wagombea wa nafasi za Udiwani na Ubunge Jimbo la Bukoba Mjini
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakibadilishana mawazo
Waliokuwa wagombea wa CCM mchakato wa maoni Ubunge, pichani kutoka kushoto ni Mwl. Joseph Katalaiya na Mzee Philbart Nyerere ,kulia kabisa ni Kada mahiri wa Chama .
Kada wa Chama cha mapinduzi ,Mama Khadja akiwa katika Mkutano wa hadhara wa CCM Bukoba wa wakutambulisha wagombea walioteuliwa kukiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao.
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta akifurahia jambo.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria mkutano huo .
Wagombea wa Udiwani pichani kutoka kushoto ni Ndugu Justinian K.Kamugisha wa kata Bakoba, Mzee Udd Idd Miru wa Kata Bilele na Ndg Richard Gasper mgombea kata Miembeni
Ndugu Smart Petro Baitani ,mgombea Udiwani Kata ya Kagando mara baada ya kukabidhiwa fomu rasmi kuwa mshika bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu ngazi ya Udiwani kata Kagondo
Mgombea Udiwani kata Miembeni Richard Gasper mara baada ya kukabidhiwa fomu.
Ndugu Al Masoud Daudi Kalumuna Mgombea Udiwani kata Ijuganyundo mara baada ya kukabidhiwa fomu
Sehemu ya Wagombea Udiwani watakao peperusha bendera ya CCM,pichani kulia ni Ndugu Sued Kagasheki mgombea wa kata Rwamishenye
Mwakilishi wa Mgombea Udiwani kata ya Kashai Ndugu Samora Lyakurwa aliyepata dharula ya safari na kutokuhudhuria mkutano huo,pichani ni Mh.Mwajabu Galiatano
Mbele ya Camera yetu ni wafuasi wa Chama cha mapinduzi
Kitimu timu,Wimbo wa Ccm mbele kwa mbele ukiwa hewani
Wadau wakiendelea kufuatilia mkutano huo.
Mmoja wa waigizaji kundi la uchekeshaji la Futuhi alikuwepo katika mkutano huo
Balozi Khamis Kagasheki akiongea katika Mkutano huo,ambapo amewashukuru wana CCM kwa kumchagua tena kuwa mgombea wa jimbo la Bukoba na kuahaidi ushindi wa kishindo.
Umati mkubwa wa watu ukimshangilia Mh.Balozi Khamis Kagasheki
Shangwe za hapa na pale mkutano ukiendelea.
Sehemu ya wadau pichani wakifuatiliakinachojiri
Ndugu Hamim Mahmudu Omary ,Katibu mwenezi CCM Mkoa akitolea jambo ufafanuzi
Mwalimu Mjuni Joseph Katalaiya akitangaza kuvunja kambi
Katibu wa CCM Mkoa Kagera Ndugu Idd Ali Ame akihutubia Mkutano wa hadhara leo katika Viwanja vya Uhuru Mjini Bukoba
Wananchi waliohudhuria mkutano huo wakiinua mikono kuashiria kumshangilia Katibu wa CCM Mkoa Kagera Ndugu Idd Ali Ame
Ndugu Obrah Karugira na Ndugu Avith Kato wakifuatilia kwa umakini Mkutano huo.
Wanaonekana wafuasi wa makada wa CCM mjini Bukoba
Sehemu ya Wagombea Udiwani, pichani kulia ni Mgombea mwenye Nyota ya kukubalika Ndg Smart Petro Baitani mwenye Shahada ya Uongozi na utawala na uhusiano wa Kimataifa (BA in Public Administration & International Relations ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1998.
Mwaka 2000-2002 Ndugu Smart Petro Baitani alijiunga na Chuo kikuu cha Metro State,Minnesota na kufuzu shahada ya Uzamili wa Usimamizi wa Biashara ya (MBA-Masters in Business Admistration),aliendelea kusoma Nchini Marekani shahada ya juu ya usimamizi wa Miradi ya kimataifa na Jamii (PMP-Project Management Professional)
Ndugu Smart Petro Baitani nyota yake ilianza kung'aa pale alipo pata Scholarship ya kwenda nchini marekani mwaka 1998 kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sayansi ya Kompyuta na Muziki
Kimkakati zaidi anaonekana Uncle Majid Kichwabuta pichani
Kimkakati eneo la tukio wanaonekana Bwana Jamal Kalumuna na Jumanne Bingwa wanakwamia;“Hatunywi sumu, hatujinyongi, CCM mbele kwa mbele…..tumeipenda wenyewe
Vijana kutoka pande za Kashai wanakwamba CCM ni…chaguo lao milele na wavimbe wapasuke watajijua
Mwisho BUKOBAWADAU BOG tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241