Bukobawadau

FREE DOWNLOAD DAT FT YUNAR - KANULINULI (NEW AUDIO)

Fanya kusilikiza na kudownload nyimbo 'Kanulinuli' kutoka kwa Msanii  home boy wa miondoko ya Taula style DAT ambaye siku chache zilizopita  alitambulisha wimbo wake wa Ekigambo.

DAT  WA TAULA TAMADUNI  AMELETA “KANULINULI”
Wimbo huo umerekodiwa katika Studio za Burn Records jijini Dar es Salaam chini ya Producer  Sheddy Clever ambaye ni mtayarishaji pekee wa muziki nchini Tanzania anayewania tuzo za Afrima mwaka huu kipengele cha Producer bora wa mwaka. Katika wimbo huo DAT amemshirikisha mwanadada YUNAR.  Wimbo  huo uko hapa, pamoja na Mashairi yake.
Next Post Previous Post
Bukobawadau