Bukobawadau

DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akitembea kwa miguu baada ya kumaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi baada ya kumaliza kujinadi  katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na watoto kwenye gari alipomaliza kujinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
 Msanii wa Muziki wa kizazi kjipya Matonya akitumbuiza wakati wa mkutano
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ambaye pia ni Mgombea ubunge Jimbo la Kyela kupitia CCM, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia katika mkutano wa kampeni wa kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, ambapo alilipua tena sakata la Richmond
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya
 Dk Magufuli akiwa na mtoto  baada ya kujinadi Tukuyu , wilayani Rungwe.
 Wananchi wa Kiwira akikimbilia msafara wa Dk. Magufuli uliokuwa ukielekea Kyala
 Wakazi w3a Kiwira wakishangaa kumuoana  Dk Magufuli
 Dk Magufuli akizungumza na wakazi wa Mji wa Kiwira, wilayani Rungwe.
 Bodaboda  zikiongoza msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela, mkoani Mbeya
 Msafara wa Dk Magufuli mjini Kyela
 Dk Magufuli akijadiliana jambo na Dk Mwakyembe
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa Dk Magufuli kujinadi kwenye Uwanja Mwakangale mjini Kyela
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Kyela

 Dk Magufuli akimkabidhi Dk Mwakyembe Ilani ya Uchaguzi ya CCM
 Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwataka wananchi wa Kyela kumchagua Dk Magufuli na anayegombea ubunge Jimbo la Kyela, Dk Mwakyembe
 Dk Magufuli akimshukuru Mwakipesile kwa kumpigia debe kwa wananchi ili wampigie kura za nurais
 Mgombea ubunge Jimbo la Kyela , Dk Mwakyembe akizungumza katika mkutano huo ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura Dk Magufuli na yeye

 Wazee wa kimila wa kabila la wanayakyusa wakimkabidhi Dk Magufuli silaha za jadi
 Wananchi wa Tukuyu, wilayani Rungwe wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli ambaye alihuwahutubia  pamoja na kujinadi
Richard Kasesera akitangaza kumuunga mkono mgombea ubunge Jimbo la Rungwe, Sauli Amon
  Richard Kasesera ambaye katika kinyang'anyiro  cha kura za maoni Jimbo la Rungwe alishika nafasi ya pili akisalimiana na Dk Magufuli baada ya kutangaza kumuunga mkono katika kampeni Mgombea ubunge wa Jimbo la Rungwe, Sauli Amon
Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akijinadi wilayani Rungwe
Dk. Mwakyembe akihutubia mjini Tukuyu wakati wa kampeni za Dk Magufuli ambapo aliwapiga vita Mafisadi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini Tukuyu
Wagombea ubunge Jimbo la Busokelo, Atupele Mwakibete na Saul Amon wa Jimbo la Rungwe wakionesha Ilani za Uchaguzi baada ya kukabidhiwa na Dk Magufuli
Ni furaha iliyoje kwa mama huyo baada ya kumuona Dk Magufuli
Dk. Magufuli akipiga picha na baadhi ya wanachama wapya  waliojiunga na CCM walioihama Chadema
Dk Magufuli akiagana na wananchi wa Rungwe
Dk Magufuli akiwapungia wananchi huku akiwa na mtoto wa mmoja wa wakazi wa Tukuyu


Dk Magufuli akimrudisha mtoto
Msafara wa Dk Magufuli ukiondoka mjini Tukuyu, Rungwe kwenda jijini Mbeya





Moja ya mabango ya kampeni za urais ya Dk Magufuli na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassani lililopo jijini Mbeya
Next Post Previous Post
Bukobawadau