SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

05 August 2015

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

 Hongereni Wapambanaji wa kata jirani za Ishozi na Ishunju Ndg William Rutta na Msafiri Matelephone , kila lililo jema katika kufikia malengo kwa hatua ijayo baada ya kura za maoni ,bila shaka kinachofuata ni kasi ya maendeleo kwa Wananchi...
Wanaonekana wakipongezana kwa matokeo ya kura za maoni ,pichani ni wagombea wa kata za Ishozi na Ishunju Wilayani Missenyi  kwa tiketi ya CCM
 Tunakupongeza Mr Samora kwa ushindi mkubwa wa kura 847 dhidi 332 za mpinzani wako katika mchakato wa kura za maoni Udiwani CCM kata ya kashai

0 comment:

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU