SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

23 August 2015

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER MC BARAKA

Leo Aug 23 ni siku ya kuzaliwa kwangu Mwanalibeneke Mc Baraka,Namshukru sana mwenyezi mungu kwa kunilinda mpaka kufika hapa nilipo,namshukuru Mola kwa kunipa nguvu na ujasili wa kupambana na misukosuko ya hapa na pale,hakika yeye ndiye muweza wa kila jambo .
Natoa shukrani kubwa kwa timu nzima ya BUKOBAWADAU Media na member wa TBN na wote waliweza kuwa nami katika safari yangu ya maisha mpaka hii leo Inshaalah namuomba Mwenyezi mungu (Omkama Katonda) aniongezee uhai na uzima HAPPY BIRTHDAY TO ME!

1 comment:

Mwesiga Alfred Mwesigwa said...

Happy birthday kaka mkubwa, Mungu akujaalie maisha marefu yenye furaha!

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU