skip to main |
skip to sidebar
LIPUMBA: UKAWA WAMESHINDWA KUSIMAMIA MAKUBALIANO NITABAKI KUWA MWANACHAMA
LIPUMBA AJIUZULU: Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba ajiuzulu uenyekiti Dar leo, adai Ukawa wameshindwa kusimamia makubaliano, atabaki kuwa mwananchama.
0 comment:
Post a Comment