Bukobawadau

MAELFU WAMSINDIKIZA LOWASSA KACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

Baada ya mazungumzo kati ya Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam na Viongozi wa UKAWA, hatimaye jeshi la Polisi limekubali na kuruhusu maandamano ya mgombea Urais CHADEMA Mh. Lowassa yaanzie ofisi za CUF Buguruni kwenda Tume ya uchaguzi (NEC)
Tayari Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA Mh. Edward Lowassa amekabidhiwa rasmi fomu ya kugombea Urais wa Tanzania na Afisa wa Tume ya Uchaguzi. Na sasa anaanza safari ya kuelekea makao makuu ya CHADEMA Kinondoni.

Maelfu ya wananchi wamsindikiza mgombea urais wa Ukawa kupitia Chadema, Edward Lowassa na mgombea mwenza
Next Post Previous Post
Bukobawadau