Bukobawadau

MJESHI HAKIMU MBAGWA AUAGA UKAPELA

Kama kawaida kutokana na ubora wa Mwanalibeneke wenu kwa coverage kubwa ya matukio na Uwezo wa kipekee wa kupiga picha,Bukobawadau Blog tunapata tenda ya kuchukua matukio ya harusi hii ya kihistoria.
 Ni harusi ya Mwanajeshi Bw.Hakimu Mbagwa mwajiliwa wa Jeshi la Wananchi Tanzania 'JWTZ' na Bi Amina Mtindo iliyofanyika kijijini Lutete-Bukoba na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.
 Bibi harusi wetu  Bi Amina Mtindo akionyesha pete yake
Mr &Mrs Hakimu Mbagwa katika pozi pembezoni mwa fukwe za Ziwa Victoria.
Naam mjeda Hakimu Mbagwa kwa furaha anambeba juu juu Beautiful Onyenyi wake Bi Amina..!

  Kikosi cha JWTZ wakiwa wamjipanga tayari kwa tukio la furaha kwa kumbeba Bibi harusi.
Katika picha ya pamoja upande na Wazazi Upande wa Bibi harusi.
  Matukio ya awali kwa ajili ya kumbukumbu,kabla ya kuelekea Kijijini
 Hakika Maharusi Wamependeza sana.
Katika furaha kubwa ya kushuhudia Gwaride kwa maharusi hao
  Gwaride maalum wakati maharusi wakiingia kwenye Gari.
 Ndugu wa Bibi harusi wakishow love mbele ya Camera yetu, wakati wa Gwaride maalum.

Mjini Bukoba mitaa ya Miembni tunashuhudia live Gwaride la Kijeshe, harusi ya Bw. Hakim na Bi.Amina .
 Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria harusi hii ya kipekee
 Watu ni wengi kweli kweli...
Bwana harusi wakati akitoa utambulisho kwa ndugu wa familia.
 Mama Mzazi wa Bwana harusi Bi Zamu Mbagwa akiwapungua waalikwa mkono.
 Kushoto ni Mama Mzazi wa Bibi Harusi na kulia kwake ni  Mama Mzazi wa Bwana harusi.
 Sehemu ya wanafamilia, pichani kushoto ni Ndugu Jamada Kakwesigabo.
Matukio ya hapa na pale ukumbini, hii ni nyumbani kwao na Bwana harusi Kijijini Lutete -Bukoba Vijijini.
Muonekano wa waalikwa ukumbini,yupo ndugu Kandanda na Byabusha's family.
Ustaadh akisoma Mlango wa kwanza wa Quruan katika Maulid ya harusi hii ya Bw. Hakimu na Bi Amina.
 Wanafunzi wa madarasa wakishusha Qaswida moja matata.
Hajjat Nazipha pichani aking'ani na kipaza sauti
BUKOBAWADAU BOG ;tunafurahia kuwa na uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu ,pia kwa taarifa au shughuli yotote kama kurusha habari na Covarage ya matukio kwa ajili ya kumbukumbu na ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043, 0715 505043 ,0768 397241,0673 505045
Email:bukobawadau@gmail.com
Insta:@bukobawadau
 Ustaadh Ibrahim Byabusha (kushoto)na Sheikh Haruna Bin Sheikh Salim Juma wa Muleba (kulia).
 Gwaride likipita wakata maharusi wanaingia ukumbini
Bwana harusi Hakimu Mbagwa akikata keki maalum ya kijeshi .
 Haji Adam Sued akimtunza Binti Mdogo aliye onyesha uwezo mkubwa wa kuhifadhi na Quruan.
 Katikati ni Shikh Musthaph Sadik akifuatiwa na Mzee Yusuph Mbagwa , kaka wa Bwana harusi

 Taswira mbalimbali ukumbini, wakati shughuli ikiendelea
 Bwana harusi akitoa shukrani kwa watu wote walioshiriki katika shughuli ya aina yake.

Picha zaidi ya 200 zinapatikana katika Ukurasa wetu wa facebook, Unaweza kujiunga nasi kwa kugonga link hii >>>
BUKOBAWADAU AUG,2015


Next Post Previous Post
Bukobawadau