Maafisa
Utumishi Ofisi ya Waziri Bi.Ernajoyce P. Hallo (wa kwanza kushoto) na katikati
ni Bi.Faith S. Lazaro wakisikiliza maoni ya Bw.Edward Osca Sodani kuhusu
uboreshwaji wa huduma za serikali kwa jamii alipotembelea Idara ya Uratibu wa
Shughuli za Serikali wakati wa maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma
tarehe 5 Agosti, 2015 .(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mchumi Mkuu Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na
Uwezeshaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Girson L. Ntimba akifafanua jambo kwa
mmoja wa wananchi wa Dodoma alipotembelea Idara hiyo kujua masuala ya uwekezaji
wakati wa maonesho ya Nane Nane tarehe 5 Agosti, 2015.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment