Bukobawadau

WAZIRI MKUU AKABIDHI MSAADA WA MAGARI YA WAGONJWA KWA HOSPITALI ZA WASSO NA ENDULENI

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza umuhimu wa magari ya wagonjwa kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa kukabidhi msaada wa magari hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye ameyapta kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015.
 Wakuu wa Idara na Vitengo Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye tai) akieleza umuhimu wa magari ya wagonjwa kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha wakati wa kukabidhi msaada wa magari hayo kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye ameyapta kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Florens Turuku (mwenye miwani) kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) mkoani Arusha Richard Kwitega, funguo za magari ya wagonjwa kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, gari hizo Waziri Mkuu amezipata kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015.
 Katibu Tawala Msaidizi (Utawala) mkoani Arusha Richard Kwitega akijaribu kuwasha moja ya gari la wagonjwa  ambalo limetolewa msaada kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amepata gari hizo kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015.
 Moja ya gari la wagonjwa  ambalo limetolewa msaada kwa Hospitali za Wasso na Enduleni za Wilayani Ngorongoro mkoani Arusha kutoka kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye amepata gari hizo kutoka kwa wafadhili wa nchini Japan, leo Jijini Dar es Salaam, Tarehe 24 Agosti, 2015.
Next Post Previous Post
Bukobawadau