18 August 2015
WIMBO MPYA 'WANGU WA MOYONI BY KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA
Kikundi cha waimbaji mahiri wanaofanya vizuri katika muziki wa Injili 'Kapotive Star Singers-Bukoba , wameweza kutoa wimbo wao mpya uitwao 'Mpenzi wangu ungana nami' kama utavyousikia hapa chini
Sasa unaweza kusikiliza Wimbo 'Wangu wa Moyoni' au 'Mpenzi wangu ungana nami' hapo juu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comment:
Post a Comment