SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

04 September 2015

ASKOFU KILAINI AMKOSOA DK SLAA

Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa. Akiongea na waandishi wa habari leo mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo.
 IPATE KATIKA VIDEO  HAPA CHINI

1 comment:

Anonymous said...

Askofu Kilaini angenyamaza tu...na kuacha vumbi la Escrow litulie tu!Maana naye bado yupo kwenye "utelezi."

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU