Bukobawadau

BONANZA LA WINDROEK DRAUGHT KUTOKA VIWANJA VYA BUKOBA CLUB

 Matukio katika picha yaliyojiri mapema leo kutoka Viwanja vya Gymkhana Bukoba Club, lile Bonanza la Windhoek Draught likiendelea kuchukua kasi,ambapo kesho shangwe hizi zitakuwa The Rock pub kwa Mzee Willy Bukobatours Rutta
 Burudani mbalimbali zikiendelea kupamba  tamasha hilo.
Anaitwa Mganda Ndele akitolea jambo ufafanuzi kuhusu kinywaji cha Windhoek Draught.
Watumiaji wa Windhoek Draught wakiendelea kupata huduma.
Mambo yanaendelea kuchakamka kila meza ni mwendo wa Windhoek tu kwa kwenda mbele
Wanaonekana baaadhi ya wahudumu wakiwa katika pozi
Sehemu ya wadau wakiendelea kupata huduma ya kinywaji cha Windhoek
Kutoka viwanja vya bukoba Club,pichani anaonekana Mwanadada Millah katika ubora wake
 Mzee Philbart Katabazi 'Nyerere' akiendelea kufurahia kinywaji cha  Windroek Draught.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Mabibo Beer,Wine and Spirity Ndugu Jerome Rugemalira amesma lengo la bonaza hili ni mwendelezo kuwa karibu na wateja wao na kuwaonjesha ladha ya Windhoek Draught yenye ujazo wa ML 440.
 Mambo ya Windroek yakiendelea kuchukua kasi.
 Ni mwendo wa Windhoek mwanzo mwisho..!
 Mwenyeji wa Viwanja hivi Mrs Emanuel pichani kushoto
 Taswira viwanja vya bukoba Club
 Kushoto ni Ndugu Msamva meneja biashara wa Kampuni Kampuni ya Mabibo Beer,Wine and Spirity ya Jijini Dar es salaam.katika picha na Mkurugenzi Jerome Rugemalira
Pichani kulia ni Mdau Reuben Sunday akiteta jambo
 Taswira mbalimbali kutoka Viwanja hivi, bonanza likiwa linaendea
 Watumiaji wa Kinywaji hili wakiendelea kufurahia siku

 Windhoek ni Kinywaji kinachoagizwa na kusambazwa na Kampuni ya Mabibo Beer,Wine and Spirity ya Jijini Dar es salaam.
 Wadau wa Kampuni ya Mabibo Beer,Wine and Spirity ya Jijini Dar es salaam.pichani wakibadirishana mawazo.
 Jukwaa likiendelea kushambuliwa katika bonanza la Windhoek Draught ,Bukoba Club leo
 Siku ya kesho Jumatatu Sep 7, Bonanza hilo litakuwa likitifuka katika kiwanja cha The Rock pub Bukoba kilichopo pembezoni mwa fukwe za Ziwa Victoria na Jumanne ya tarehe 8 ni zamu ya Wakazi wa Muleba ndani ya Nalphin Hotel
 Wakazi wa Muleba kaeni tayari!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau