Bukobawadau

'LWAKIS' AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KUUSAKA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA

 Matukio yaliyojiri jana mkutano wa UKAWA wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Hamugembe,Uliofanyika  katika Viwanja vya Kashabo-Kanisani,Mkutano huu ni wa nne kufanyika  tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi 2015
 Kushoto ni Ndugu Muhaji Kachwamba  mgombea Udiwani kata ya Hamugembe-Bukoba na kulia kwake ni Wilfred Muganyizi Lwakatare Mgombea Ubunge jimbo la bukoba kwa tiketi ya Chadema/Ukawa.

 Aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, Anatory Amani akimnadi Mgombea Ubunge wa Ukawakwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika maeneo ya Kashabo-Hamugembe Bukoba
Sehemu ya Wakina mama wakiitikia Salaam ya Chadema guma Abakazi tulio..!!!!!!!!!!!!

Umati wa watu katika mkutano huo
Salam yetu ya peeeepleeesssss kutoka kwo huoa Wageni maalum waliohudhuria mkutan
Muhaji Kachwamba akiwahutubia wananchi waliojitokeza katika mkutano huo
Ndugu Lwakatare akimpongeza Ndugu Muhaji Kachwamba kabla ya kumkabidhi kipaza sauti.
Kutoka kushoto meza kuu ni Mzee Kayunga, Ndugu Muhaji Kachwamba, Lwakis Muganyizi , Shelejah na Bwana Anatory Amani
Taswira mkutano wa hadhara wa Kampeni Ubunge na Udiwani Ukawa jimbo la Bukoba Mjini
Bwana Pielle Peter Mgisha akisalimiana na Moses Mnyama
Ndugu Shelejah na Ndugu Anatory Amani anaye gombea udiwani kupitia NCCR Mageuzi
Wadau wakiendelea kufuatilia kinachojiri.
BUKOBAWADAU MEDIA tutaendelea kukujuza hatua kwa hatua yote yanayojiri katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu jimbo la Bukoba Mjini na maeneo mengineyo

Next Post Previous Post
Bukobawadau