Bukobawadau

MAGUFULI BUKOBA KEEPS IT AT THE PEAK

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza  jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba
Wakazi wa Mji waBukoba na na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na kuomba ridhaa mbele yao jioni ya leo 
 Kwa msisitizo mkubwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua swala la bei ya zao la kahawa ambapo ameahidi kulishughulikia pia ametoa ahadi ya  Meli.
 Balozi  Khamis Kagasheki Mgombea Ubunge Jimbo la bukoba akiwahutubia maelfu ya watu waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe MagufulMagufuli
 Ndugu Hamim Mahmudu Omary ,Katibu mwenezi CCM Mkoa akitoa maelezo kwa "kuzingatia itifaki"
Msanii Diamond Platnum
 Sehemu ya Wakazi wa Mji wa Bukoba wakifuatilia kwa umakini  sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati akijinadi na kuomba ridhaa kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Viwanja vya Gymkhana
 Msanii Bushoke akiwajiba jukwaani kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli uliofanyika Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba jioni ya leo
 Msanii Mr Blue Jukwani
Wafuasi wa CCM wakiendelea kufuatilia kinachojiri  Viwanja vya Gymkhana jioni ya leo
Bi Aziza Sudi  mmoja wa maelfu waliohudhuria mkutano huo
Umati wa watu wakishangilia kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Magufuli


Yamoto  Band jukwaani.
 Mh. Mwijage akiwahutubia maelfu ya watu katika mkutano huo
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera Mama Constancia Buhiye anatoa salam

Katikati ni Bwana Samora Lwakurwa Mgombea Udiwani kata ya Kashai

 Mambo ya Magufuli Mjini Bukoba leo
 Taswira katika picha kupitia bukobawadau Blog.
 Fid Q akisema na wananchi Mjini hapa
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini  Bukoba/ Matukio ya Muleba picha na  RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli mjini Bukoba leo
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli, akiwapungia mikono kuwaaga wananchi baada ya kujinadi katika mkutano wa kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini
 Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi akiwemo Kamanda wa Poilis wa zamani wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana katika Kijiji cha Buganguzi, Muleba Kusini
 Dk Magufuli akiomba kupigiwa kura Muleba Kusini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
 Dk Magufuli akiifariji familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye aloifariki dunia katika ajali ya pikipiki
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia  alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni  katika Jimbo la Muleba Kusini
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia  alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni  katika Jimbo la Muleba Kusini
 Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili katika mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini kuendelea na kampeni
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini
 Mmoja wa wanachama wa upinzania akijitangaza kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA ccm
 Dk Magufuli akiomba kura kwa wananchi katika Kata ya Nshamba Muleba Kusini
 Wananchi wakifurahishwa na ujio wa Dk Magufuli katika Kata ya Kamachumu, Muleba Kaskazini
 Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini kijinadi kwa wananchi
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi Muleba Kaskazini
 Mmoja wa wakazi wa Kamachumu akisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kuomba kura kwa wananchi
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Kemondo
 Ni furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika mkutano wa kampeni  katika Kata ya Marukucha MaBukoba Vijijini
 Mwakilishi wa watu wenye ulemavu kwenye kampeni za CCM, Amon Mpanju akielezea wasifu wa Dk Magufuli
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Maruku, Bukoba Vijijini
 Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akielezea sera za CCM
 Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli
 Dk.Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo hilo
 Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini
 Chege na Temba wakitumbuiza katika mkutano huo
 Yamoto Bandi ikitumbuiza
 FD Q akitumbuiza
 Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini, Charles Mwijage akielezea umuhimu wa wananchi kumpigia kuraDk Magufuli. Wengine ni wagombea ubunge viti maalumu kupitia Mkoa wa Kagera. Kulia ni Halima Bulembo
 Kundi la Diamond likitumbuiza wakati wa mkutano huo
 Dk Magufuli akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Naseeb Diamond Platnumz
 Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bukoba
 Mgombea urais  wa Tanzania kupitia CCM akijinadi kwa wananchi, Dk John Magufuli  kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba

VIDEO BALOZI KAGASHEKI AKIWAHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI MJI HAPA
Next Post Previous Post
Bukobawadau