Bukobawadau

UZINDUZI WA KAMPANI KAGASHEKI WATIKISA !!

SwahibaAA! SwahiBAAA! SwahibAAA...!!zinasikika kelele za wapenzi wa Kagasheki na wafuasi wa CCM kuonyesha wanavyo msupport  mgombea wao Balozi Khamis Kagasheki, katika uzinduzi wa Kanipeni zake uliofanyika leo Jumanne Sep 8,2015 katika Uwanja wa Uhuru.
 Umati mkubwa wa watu waliojitkeza kumsikiliza Balozi Khamis Kagasheki akiomba ridhaa ya kichaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini katika uchaguzi mkuu mwaka huu.
 Picha ya juu anaonekana Balozi Khamis Kagasheki 'Swahiba' mara baada ya kuwahutubia wananchi na kuzinadi sera za Chama chake katika mkutano wake wa Uzinduzi wa Kampani sambamba na kumuombea kura Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Picha ya pili anaonekana Ndugu Jumanne Bingwa akichukua picha ya kumbukumbu.
 Rais Mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akiwahutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni wa Mgombea wa CCM jimbo la Bukoba Mjini, Balozi Khamis Kagasheki,Mh Mkapa amewata wananchi kuwachagua wagombea wa CCM ili wawaletee maendeleo.
Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini Charles  Mwijage akiwahutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi katika Mkutano huo.
 Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja Uhuru Mjini Bukoba.
 Kushoto ni Mgombea Ubunge Jimbo wa Nkenge aliyekuwa Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala na kulia kwake ni Mzee Pius Ngeze
 Kutoka kushoto Mh.Nazir Karamagi,Balozi Kagasheki , Mh.Rc Mongella na Mh. Mkapa
 Sehemu ya wanahabari wakiwajibika
 Jeanifer Murungi Kichwabuta
 Sehemu ya watu wakiendelea kufuatilia mkutano huo
 Ndugu Shafih pichani kushoto, Masoud Kamala wa Kalumuna (katikati) ambaye ni Mgombea Udiwani Kata Ijuganyundo na Ndugu Ashraf Kalumuna
 Umati wa watu katika hali ya Usikivu.
 Nyomi ya watu wakifuatilia kinachojiri katika mkutano huo
 Ndugu Samora Lyakurwa  Mgombea Udiwani kata ya Kashai.
 Ndg Smart Petro Baitani Mgombea Udiwani Kata ya Kagondo katika picha na Mpambanaji Ndugu Jamal Kalumuna.
 Matukio mbalimbali katika picha
 Rais Mstaafu awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Balozi
Diodorus Buberwa,katikati mwenye tabasamu pana ni Profesa Anna Tibaijuka mgombea Ubunge Jimbo laMuleba Kusini (CCM) na wa mwisho kabisa kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera Costansia Buhiye.

 Katika hali ya ukakamavu anaonekana Katibu wa Vijana CCM wilaya ya Bukoba Ndg Didas Zimbile
 Shangwe za hapa  na pale 'CCM Mbele kwa Mbele'
 Katibu wa Vijana CCM wilaya ya Bukoba Ndg Didas Zimbile akipokea maelekezo kutoka kwa kiongozi wa juu mkoa wa Kagera Mh. John Mongella.
Taswira jukwaa kuu , pichani kulia ni Ndugu Yahaya mwenyekiti wa Umoja wa vijana mkoa wa Kagera


Next Post Previous Post
Bukobawadau