SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

19 October 2015

BALOZI KAMALA MGENI RASMI MAHADHIMISHO YA KIDOTO CHA NNE SHULE YA SEKONDARY TWEYAMBE

Balozi Dkt Diodorus Buberwa Kamala Kamala mgeni Rasmi katika Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Tweyambe iliyopo wilayani Misenyi  yaliyofanyika mwisho mwa juma lililopita .
Balozi Dtk Diodorus Buberwa Kamala ameshiriki mahafali hayo kwa kuangalia Maonesho ya taaluma kwa Wanafunzi Washiriki, kutoa vyeti na zawadi mbalimbali kwa Wanafunzi wahitimu na kutoa hotuba,ambapo ameahidi kuanzisha mradi wa maji kufuata changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu sana kufuata maji,pia ameahidi kutoa vifaa ya michezo na vitabu vya Sayansi.
Pichani kulia ni Mwalimu Tamimu wa shule ya Sekondari Tweyambe
Kama wanavyo onekana Wahitimu wakiteta jambo
 Bwana William Rutta akimkaribisha Mgeni Rasmi kutoa hutuba yake
Taswira mbalimbali Ukumbini
 Mzee Pius Ngeze akitoa neno katika mahafali hayo
Lisala kwa Mgeni Rasmi kutoka kwa wahitimu wa  Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tweyambe
Mkuu wa shule ya Sekondari Tweyambe akisoma Lisala kwa mgeni Rasmi Balozi Dkt Kamala
 Wahitimu wa kindato Cha nne muda mchache kabla ya kuingia Ukumbini
Wahitimu wakielekea Ukumbini
Mabinti wakapata picha ya kumbukumbu na Balozi Dtk Diodorus Buberwa Kamala
 Bwana Hamad pichani kama alivyokutwa na Camera yetu katika mazigira ya Shule ya Sekondari Tweyambe
 Matukio zaidi ya picha yanaendelea Baadhi ya Wahitimu Kidato cha Nne Shule ya Sekondari Tweyambe wakielekea ukumbini

1 comment:

Anonymous said...

So happy to see the very best of Tweyambe secondary school at their graduation. I am sure so many of them will be going back for form five and six. They have the best facilities in Kagera.

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU