Bukobawadau

BARAZA LA VYAMA VYA SIASA LAAHIRISHWA KUTOKANA NA KIFO CHA MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA

 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha baraza hilo kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na r7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kulia ni Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Siasa na Rais wa ADA, John Chipaka.
 Msajili Msaidizi wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza (kulia), akizungumza katika mkutano huo, kuhusu kuahirishwa kwa kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa kilichokuwa kifanyike Oktoba 6 na 7, 2015 kutokana na kifo Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila. Kushoto ni   Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, Peter Mziray.
 Ofisa Habari wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Monica Munanka (kulia), akizungumza katika mkutano huo.
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau