SEARCH -TAFUTA

.

SIR.LOOM INC

12 October 2015

"HAYA LAND NATIVE'' VAZI LETU,CHAGUO LETU!!

NAAAM !ni ujio wa 'Haya land Native (Certified) ' kwa nguo za kisasa kila aina na za kila rika ni  fursa nyingine kwako 'Mnyaluganda' kuonyesha upendo kwa kuthamini vya #Nyumbani,Shughuli ni watu "Label" ni Haya Land Native moja ya mavazi mhimu ,mazuri maridadi, yenye rangi mbalimbali za kupendeza ,Mjini Bukoba  tayari yanapatikana @ Sadath boutique na Dukani kwa Mama Rubby. 
'Haya Land Native' ni chaguo sahihi litakalo kufanya uonekane tofauti,kwa wale wa Mikoani wasiliana na Idara ya Masoko kupitia +255 652 489 500 /+255 714 238 123/+255 652
KUPENDEZA ni vile mtu unavyojipanga fanya kujipatia copy yako sasa 'Haya land Native (Certified) ndiyo label itakayokufanya uonekane tofauti !


 Katika Ubora ni Mwanamitindo Nancy Nas akiwakilisha label ya mavazi inayotamba 'Haya Land Native ' photo Credit@ Walter Rwey-Robert
 Mcheck Ms Shubby na mkaka walivyopendeza ,Kazi kwenu madoo na mabrother men kufanya jitihada  kujipatia vazi lako lenye label inayotrend kwa kasi "HAYA LAND NATIVE (CERTIFIED)" ndiyo habari ya Kizazi hiki mijini kote!
Ni vazi letu Chaguo letu
                 follow Instagram @haya_land ,@bukobawadau

2 comment:

Hubert said...

Bravo!!! Stores ziko sehemu gani?...je mnafanya usambazaji nje ya Kagera?

Anonymous said...

Chagua label nyingine, mambo ya Haya Land yanaonyesha ukabila

 

WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043

.

SIR.LOOM INC & MC BARAKA

.

IDADI YA WATU