KIFO CHA MGOMBEA UBUNGEA ARUSHA MJINI KWA TIKETI YA ACT WAZALENDO
#TANZIA:Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa Tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Estomih MALLAH amefariki Dunia baada ya kuugua na kukimbizwa Hospitali.
Kwa mujibu wa Msemaji wa ACT – Wazalendo Abdallah Khamis nikwamba Tatizo lilianza October 06 2015 wakati anajiandaa kwenda kwenye Mkutano wa Mgombea Urais, alisema anajisikia vibaya kichwa kinamuuma… Hakuweza kupanda Jukwaani, akapelekwa Hospitali ya KCMC baada ya hali kuwa mbaya. Jana saa nane usiku wakatumiwa taarifa ya msiba.”.