Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika
viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya leo Jumapili 18/10/2015,akiomba
kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka
#Mabadiliko2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Mbeya jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu
#KutokaMbeya
mgombea urais kupitia CHADEMA kwa tiketi ya UKAWA,Edward Lowassa
amewahakikishia wakulima kuwa kama akichaguliwa kuwa rais ataboresha
kilimo na kuwa cha kisasa na atafuta ushuru wa mazao na pembejeo na
kwamba wakulima watakuwa na uhuru wa kuuza mazao yao nje ya nchi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
I can't wait....to...see. only NEC can change the outcome.....may God protect the children's of Tanzania.
Post a Comment