Bukobawadau

MAPOKEZI, MKUTANO WA DK MAGUFULI HAIJAPATA TOKEA MWANZA

 Mgombea urai wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwasili kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Bendera za CCM zikiwa zimepamba msafara wa Dk Magufuli kutoka Uwanja wa Ndege hadi jijijini Mwanza

.Mgombea urai wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwaaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza
 Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi  kuomba apigiwe kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu
 Wananchi wakiuzuia msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli  uliokuwa ukisindikizwa na umati wa watu kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwenda kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza
 Mfanyabiashara ndogondogo akiuza matunda huku akiwa na bendera ya ccm juu yake
 Baadhi ya wafuasi wa CCM wakifanya mazoezi ya Push Up katika Barabara ya kutoka Mjini kwenda Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
 Nifuraha tupu kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wakicheza muziki wa ccm walipokuwa wakisubiri ujio wa Dk Magufuli jijini Mwanza..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Kijana akiwa amejiremba mwilini kwa rangi ya CCM kujiandika jinala Dk Magufuli
 Soma mwenyewe
 Dk Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Mwanza kuelekea kwenye Uwanja wa Furahisha katika mkutano wa kampeni
 Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiwa wametandika vitenge kwenye lami ili msafara wa Dk Magufuli upite

  Bendera za CCM zikiwa zimepamba msafara wa Dk Magufuli kutoka Uwanja wa Ndege hadi jijijini Mwanza
 Msafara wa Dk Magufuli ukitoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwenda kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Furahisha
 Wananchi wakiuzuia msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli  uliokuwa ukisindikizwa na umati wa watu kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwenda kwenye mkutano wa kampeni katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza
 Msafara ukikaribia kufika kwenye viwanja vya furahisha , Asilimia kubwa ya wananchi hao walitembea kwa mii kuusindikiza msafara huo kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwanza hadi viwanja vya Furahisha..PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo akitoa hotuba ya kumkaribisha Dk Magufuli kwenye mkutano huo wa kampeni.
 Wasanoo wa muziki wa kizazi kipya Chege na Tembe wakitumbuiza wakati wa mkutano huo
 Mratibu wa kampeni za Dk Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Ya CCM, Abdallah Majula akitoa wasifu wa Dk Magufuli na kumuombea kura
 Dk Magufuli (katikati) akiwanadi Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela, Anjela Mabula na Stanslaus Mabula ambaye anagombea ubunge Jimbo la Nyamagana
 Dk Magufuli akiunganisha alama za v zinazotumiwa na wafuasi wa Chadema zinazunda W ikimaanisha Watu wa Magufuli na akiigeuza inakuwa Magufuli
 Wananchi wakionesha Dole la Gumba linalotumiwa na wafuasi wa CCM ikiwa ni ishara ya kumkubali Dk Magufuli na kuahidi kumpigia kura katika uchaguzi Mkuu ujao,
 Dk Magufuli akimnadi Stanslaus Mabula Mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana
 Dk Magufuli akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge Jimbo la Ilemela, Anjela Mabula
 Moja mbwembwe katika mkutano huo
 Mgombea urai wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipokuwa akiwaaga baada ya mkutano wa kampeni kumalizika katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza

Msafara ukiondoka baada ya Dk Magufuli kumaliza kuhutubia 
Next Post Previous Post
Bukobawadau