Bukobawadau

MKUTANO WA JUMA DUNI HAJI MJINI BUKOBA LEO

Mjini Bukoba Mamia ya wananchi wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kashai
 Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa mjini Bukoba katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kashai leo
 Umati Mkubwa wa wananchi wakifuatilia mkutano wa hadhara wa Ukawa uliofanyika kwenye Uwanja wa shule ya Msingi Kashai jioni ya leo Ijumaa Oct 16,2015
 Ndivyo linavosomeka moja ya bango 
Juma Duni Haji akifurahishwa na mwamko wa Mabadiliko na watu wa Bukoba
Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini (UKAWA)Wilfred Muganyizi Lwakatare, Engaju.
Taswira wananchi wakiendelea kufuatilia mkutano huo
 Wananchi wakiwafuatilia hotuba ya Mgombea Mwenza wa Ukawa Juma Duni Haji.
 Mamia ya wakazi wa Mji wa Bukoba wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Ukawa uliohutubiwa na mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Juma Duni Haji katika uwanja wa shule ya msingi kashai
 Ndugu Jimmy Kalugendo Mgombea Udiwani kata Nshambya (UKAWA)
Katikati ni Bwana Muhaji Kachwamba  Mgombea Udiwana Kata Hamugembe (Chadema)
Nyomi ya watu  wa mabadiliko
Sehemu ya Wagombea Udiwani wa UKAWA Jimbo la Bukoba Mjini
NOTE:Bukoba Wadau Media inawaalika Wagombea wa nafasi mbalimbali za uwakilishi katika ngazi za Udiwani na Ubunge Mkoani Kagera kujumuika na wapiga kura wao. Tutawawezesha kunadi Sera na Mipango yao na vyama vyao kwa ufanisi. Fursa hii inapatikana kupitia blog yako pendwa na majukwaa mbalimbali ya mitandao ya Kijamii yanayomilikwa na kuendeshwa na Bukoba Wadau Media.Kwa kupitia katika vyombo vyetu (Blog,Social media pages na Whatsaap) utawafikia moja kwa moja wapiga kura wako au wale wenye uwezo wa kuwashawishi wapiga kura wako katika ngazi ya Kata na Jimbo.
Bukobawadau Media tutakuwezesha kukutana na walengwa kwa njia ya kuandika ujumbe wa maneno, kutuma sauti au video fupi na ya ukubwa wa wastani.
Kupata huduma hii wasiliana nasi kupitia:+255 784 505045 /+255 684 627030 ?+255 754 505043
Mgombea Udiwani Kata Kagondo kwa tiketi ya NCCR Mageuzi Bwn Anathory Amani akifuatilia hotuba ya Mgombea Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)

Next Post Previous Post
Bukobawadau