Bukobawadau

R.I.P LEGENDARY MKANDALA RUFUFU

Tumepokea kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Ndugu Mkandala Rufufu,aliyejipatia umaarufu mkubwa wa kutafsiri movie za kizungu na Kihindi kwa sauti ya Kiswahili 
 Tunamwomba Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi !
Next Post Previous Post
Bukobawadau