Bukobawadau

YALIYOJIRI KAMPENI JIMBO LA NKENGE LEO

 Leo tena Oct 21,2015 Mdau Samuel Lugemalila​ aendelea na kampeni zake kusaka kura kijiji kwa kijiji ,uso kwa uso na wananchi huko Missenyi ,kama meneja wa (Magufuli CLUB) Jimboni Nkenge akutana na kuwahutubia wakazi na WanaCCM wa Kijiji Kantale Kata ya Bwanjai
Katika harakati hizo maarufu kama (Operation Tokomeza Ukawa ) Ndugu Samuel  amemuombea kura Mgombea Urais wa CCM Dk Magufuli na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nkenge Balozi Dk. Diodorus Buberwa Kamala pamoja na Diwani mtarajiwa kata ya Bwanjai Bw.Dickson Mwesiga.

 Baadhi ya Wananchi na WanaCCM wakimsikiliza  mpambanaji Uncle Samuel  Lugemalila
Uncle Samuel  Lugemalila katika Ubora wakekatika kucheza Ngoma ya hasili
Mamcho ya wananchi yakimtamaza Uncle Samuel Lugemalila meneja wa (Magufuli CLUB) Jimboni Nkenge wakati akiendelea kushambulia jukwaa kwa burudani ya Ngoma ya hasili

Next Post Previous Post
Bukobawadau