Bukobawadau

HABARI MBALIMBALI KUTOKA KATIKA TV NCHINI LEO NOV 21,2015

Polisi Wazuia Mikusanyiko Mwanza Raia Wa Uingereza Akamatwa na Mirungi UwanjaWa Ndege
 Kifo Cha Mtangazi Maarufu Wa Burudani Mtangazaji mwandamizi wa vituo vya radio na televisheni nchini Tanzania, Prince Kamukulu amefariki dunia na kuagwa leo jijini Dar Es Salaam Lushoto, Ulanga Kupiga Kura Kesho Wananchi wa Lushoto na Ulanga Mashariki wanatarajiwa kupika kura kesho kuchagua wabunge watakao wawakilisha katika bunge la 11. Washtakiwa Watatu Wahukumiwa Kunyongwa Mh.Sakalambi na wenzake wawili kutoka manispaa ya Tabora, wahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kuwaua kinyama mke na mume . Spika Wa Bunge Wakutana Kutathmini Hotuba Ya Rais Ofisi ya bunge kwa kushirikiana na mkaguzi mkuu wa serikali, wamekutana ili kutafakari hotuba ya kwanza ya Rais Magufuli. MSD Yatekeleza Agizo La Rais Magufuli
 MSD Yatekeleza Agizo La Rais Magufuli 
 Bohari ya dawa nchini MSD imetekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kupeleka vitanda na vifaa tiba katika kitengo cha mifupa hospitali ya Muhimbili. Baada ya agizo la Mheshimiwa rahisi kuhusu pesa zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya Wabunge jana kuwa zinunue vitanda tayari MSD imetekeleza agizo hilo na imeisha deliver Vitanda 300 magodoro, 300, wheelchair 30, emergency recovery stretcher 30, mashuka 900 na mablanketi 400. MSD Motto "Dedicated to Save Your Life" Visit www.msd.or.tz. Anne Makinda Akabidhi Rasmi Ofisi Kwa Spika Job Ndugai Ofisi ya Bunge ikishirikiana na CAG watafanya mafunzo ya kujenga uwezo kwa wabunge juu ya matumizi bora ya fedha za Serikali.
Next Post Previous Post
Bukobawadau