Bukobawadau

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA BI ANNA.M. RUGALEMA KIJIJINI NSHISHA

 Muonekano wa Kaburi la Marehemu Bi Anna. M. Rugalema,mara baada ya  mazishi yaliyofanyika Jana Nov 26,2015 Nyumbani kwake Kijijini Nshisha-Rwamulumba  na kuhudhuriwa na mamia ya watu.
Picha ya Marehemu Bi Anna.M. Rugalema wakati wa uhai wake
 Wachungaji wa wakingoza Misa ya Mazishi ya Marehemu Bi Anna.M.Rugalema ambaye alikuwa kipenzi cha watu wengi, Mama wa familia Nesi, dada, shangazi, mwalimu, mcha Mungu na mpenda watu yaliyofanyika Jana nyumbani kwake Kijijini Nshisha-Rwamulumba Bukoba.
 Umati wa waombolezaji wakishiriki Misa Ibada ya mazishi Marehemu Bi Anna.M.Rugalema
 Waombolezaji wakiendelea kushiriki Misa ya mazishi hayo yaliyo fanyika jioni ya Jana Alhamisi Nov 26,2015 Kijijini Nshisha Rwamulumba.
 Watoto wa Marehemu Bi Anna.M.Rugalema pichani wakishiriki Ibada ya mpedwa wao. Mrs Rugalema pichani wakati Misa ya Mazishi ikiendelea.

Neno la Shukrani kutoka kwa ndugu wa Marehemu Bi Anna.M.Rugalema


 Neno kutoka kwa msemaji wa Wajukuu wa Marehemu Bi Anna.M.Rugalema

 Salaam za rambirambi zikiendelea.
Umati mkubwa wa Waombolezaji wakisogea kuweka udongo kaburini
 Mr. Rugalema akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu mama yake Mpendwa


 Zoezi la kuweka Udongo likiendelea
 Simanzi na vilio vikitawala kwa wanafamilia wakati wa kuweka Udongo kaburini
Anaonekana mwenye huzuni mkubwa  pichani ni Mr. Frank Rutemerwa.
Simanzi na vilio vikiendelea kutawala
 Mchungazi aliyeongoza Ibada ya Masishi haya akiweka shada la maua
 Mtoto wa Marehemu akishirikiana na Mke wake kuweka shada la maua kwenye kaburi la mama yao
 Mmoja ya Watoto wa Marehemu Bi Anna .M.Rugalema akiweka shada la maua.
Kwa pamoja pichani Mr.&Mrs Rugalema wakiweka shada ya maua
 Wanafamilia wakiendelea na Utaratibu wa kuweka mashada kwenye kaburi la mpendwa wao.

  Wakati matangazo mbalimbali yakiendelea kutoka kwa Viongozi .

 Sehemu ya waombolezaji

 Salaam za rambi rambi kutoka Umoja wa mataifa na Watao wa Marehemu waliopo Ughaibuni ambao hawakuweza kushiriki mashishi haya.
 Pichani kushoto anaonekana ndugu Yazid, rafiki mkubwa wa familia ya marehemu Bi Anna
MATUKIO YA PICHA ZAIDI NA VIDEO VINAENDELEA HIVI PUNDE..............

Next Post Previous Post
Bukobawadau