RC MONGELLA NA JITIHADA ZA KUIMIZA USAFA
Mkuu wa mkoa wa Kagera na serikali ya mkoa kwa ujumla wamefunga vibanda
vya mama ntilie na wauza pombe za kienyeji kwa muda usiojulikana ili
kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu unaoikumba nchi kwa ujumla.Hii
imekuja siku moja baada ya rais Pombe Magufuli kuagiza sherehe za uhuru
zitumike kufanya usafi ili kukabiliana na kipindupindu.
Mpaka sasa hospital ya mkoa ina wagonjwa 26.
Tayari mkuu wa mkoa wa Kagera ameanza jitihada za kuimiza usafi kwa kutembelea mitaani na kuhakikisha mitalo yote inasafishwa.
Mpaka sasa hospital ya mkoa ina wagonjwa 26.
Tayari mkuu wa mkoa wa Kagera ameanza jitihada za kuimiza usafi kwa kutembelea mitaani na kuhakikisha mitalo yote inasafishwa.