Bukobawadau

KATIKA PICHA MAPEMA YA LEO DEC 25,2015

Mitaa mbalimbali ya Mji wa Bukoba  ikiwa imetulia kabisa mapema ya leo Dec 25,2015 Camera hapa Camera yetu ipo barabara ya  tupendane Mjini kati
 Viunga vya mji wa Bukaba mapema ya leo tunakutana na Mdau Abdumalick Tibabimale akitakiana heri ya Siku kuu ya Krismas na swahiba wake,ni  kijana Nelly pichani kulia
 Muonekano Vilima vinavyo uzunguka mji wa Bukoba ,maeneo ya Rwamishenye - Chemba
 Mitaa ya Miembeni Camera yetu uso kwa uso na kijana Seki
 Katika ubara wao pichani Kushoto ni Mkubwa Ben Mulokozi na Bwana Rashid kijana mpambanaji
 Mdau Rude kutoka Jijini Arusha ni mpenzi na mfatiliaji wa mtandao wa Bukobawadau.
Bwana Athony Tibaijuka (TBS ) na Ndugu Cathbert Basibila
Picha yenye mikiki na  'swagger' kutoka kwa Mr Ben Mulokozi
Katika hili na lile ni Mdau Ben Mulokozi na Ndugu Rashid Rwehumbizi (Katoro Boy)
 Mwanadada Happy katika pozi Mantash Allah
Mwanadada Koku Gtrezo katika muonekano Sawia wa kuvutia na kupendeza!
Kutoka La Familia aka Vya Ukoo anaitwa Yunus K katika hali ya utulivu.
 Pichani ni Wadau  wazalendo,Vijana wanachama Jukwaa la Vuguvugu la Maendeleo Mkoani Kagera Maarufu kama Bukoba Mpya Group Jukwaa lenye Dhamira ya "KUHAMASISHA VIJANA WAISHIO NDANI NA NJE YA MANISPAA YA BUKOBA, KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII, NA KISIASA KWA MANUFAA YA VIZAZI VILIVYOPO NA VIJAVYO"
Kuhusu jukwaa la Bukoba Mpya kwa ufupi ni Jukwaa chini ya BUKOBAWADAU MEDIA LENYE DIRA YA "KUWA TAASISI HURU AMBAYO ITAJIKITA KATIKA KUWEKA MSUKUMO WA MAENDELEO KWENYE MANISPAA YA BUKOBA"
 Mbele ya Camera yetu ni Kijana Revocatus Biri, mwanachama wa Jukwaa la Bukoba Mpya
Mdau Mohamedi Kikwemu pichani
 BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241


Next Post Previous Post
Bukobawadau