Bukobawadau

MATUKIO NA WADAU LEO DEC 19,2015

 Pichani Mh. Lwaks akigonga cheers na baadhi ya wadau mara baada ya kubrief nia ya Kongamano la BUMUDECO litakalofanyika tarehe 27/12 /2015 Mjini hapa
Photo Credit :Rwehumbiza Rashid​
 Mbunge wa  Jimbo la Bukoba mjini  Mh.Lwakatare akiwa na Mkurugenzi wa Clouds media group Ndugu Joseph Kusaga na John Gonza katika kikao kilicho fanyika Yacht Club jiji Dar leo.Ni muendelezo wa mikakati ya  maandalizi ya kongamano la BUMUDECO la tarehe 27. Clouds watashiriki katika kongamano hilo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau