Bukobawadau

Meli Mpya ya MV Mapinduzi Ikiwasili katika Bandari ya Zanzibar Ikitokea Nchini Korea Ilikoungwa Meli hiyo

Meli Mpya ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea 
Meli Mpya ya MV Mapinduzi ikiwasili katika bandari ya Zanzibar ikitokea Nchini Korea baada ya kukamilika kwa Uundaji wake uliochukua miezi 18, ikiwa katika bahari ya Zanzibar ikielekea katika bandari kwa ajili ya ufungaji wa gati katika bandari ya Malindi Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakiipokea Meli yao Mpya ya MV Mapinduzo 2 wakiwa katika bustani ya Forodhani Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakichukua picha kupitia simu zao Meli Mpya ya MV Mapinduzi wakati ikiwasili Zanzibar katika bandari ya Zanzibar
 Meli Mpya ya Mv Mapinduzi 2 ikiwa katika bahari ya Zanzibar.
Wananchi wa Zanzibar wakiwa katika bustani ya forodhani wakiipokea Meli yao Mpya ya MV Mapinduzi 2 ikiwasili Zanzibar ikitokea Nchini Korea ilioundwa meli hiyo. 
Wananchi wa Zanzibar wakichukua picha kupitia simu zao Meli Mpya ya MV Mapinduzi wakati ikiwasili Zanzibar katika bandari ya Zanzibar, wakiwa katika bustani ya forodhani Zanzibar
Wananchi wakiwa katika Bandari Kuu ya Malindi Zanzibar wakiipokea Meli yao Mpya ya MV Mapinduzi ilipokuwa ikifunga gati katika bandari hiyo ya Zanzibar.
Wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar wakipiga picha Meli Mpya ya Mv Mapinduzi kupitia simu zao kwa ajili ya kumbukumbu kwa kuja kwa Meli hiyo Mpya. 
MV Mapinduzi ikiwa katika Bandari ya Zanzibar ambayo ina uwezo wa kuchukua Abiria na Mizigo na Magari.
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akiwapungia mikono Wananchi waliofika katika Bandari ya Malindi Zanzibar ikifunga Gati akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk Juma Malik.
Mwananchi wa Zanzibar akiwa na simu yake baada ya kuchukua picha ya Meli ya Mv Mapinduzi 2 na kuwatumia Wananchi kupitia simu yake.  
MV Mapinduzi 2 ikiwa katika harakati za kufunga Gati katika Bandari ya Zanzibar.  
Wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar na wa Shirika la Bandari Zanzibar wakishangilia Meli Mpya ya MV Mapinduzi wakati ikiwasili katika bandari ya Malindi ikifunga Gati 
Wafanyakazi wa Shirika la Meli Zanzibar na wa Shirika la Bandari Zanzibar wakishangilia Meli Mpya ya MV Mapinduzi wakati ikiwasili katika bandari ya Malindi ikifunga Gati 
Wananchi wakiwa katika Bandari ya Zanzibar wakiipokea Meli ya Mv Mapinduzi 2 katika bandari ya Zanzibar.
Meli Mpya ya MV Mapinduzi 2 ikiwa katika bandari ya Malindi baada ya kufunga gati katika bandari hiyo ya Zanzibar.
Wafanyakazi wa Shirika la Mandari wakiwa katika Bandari ya Zanzibar wakipokea Meli Mpya ya Mv Mapinduzi 2
Waandishi wa habari wa Zanzibar na Viongozi wa Shirikala la Meli Zanzibar wakiwa katika Meli ya Mv Mapinduzi 2 wakitokea katika kisiwa cha Chumbe kuipokea meli hiyo ikitokea Nchini Korea ilikoundwa Meli hiyo.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com.  
Next Post Previous Post
Bukobawadau