Bukobawadau

MISA MAALUM KUMBUKUMBU YA WAPENDWA WA FAMILIA YA MAREHEMU DANIEL RWECHUNGURA.

Ndugu, jamaa na marafiki wameungana na familia ya marehemu Daniel Rwechungura katika ibada ya misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya jana Jumamosi  Dec 12,nyumbani kwa marehemu Kijijini Kangantebe Kagondo Bukoba .
Ibada hiyo ya kumbukumbu ya Marehemu Dael Rwechungura na wanae Andrew na Robart Rwechungura imeongozwa na Padri Markmillian Pius wa Rubya
Katika mafundisho yake, Padri amewaasa waumini kumuweka Mungu mbele katika maisha yao ya kila siku na kutenda matendo mema huku akitumia muda mwingi kuwafariji wanafamilia, ndugu, jamaa na wanakijiji waliohudhuria kuwa marehemu Mzee Daniel Rwechungura, Andrew Rwechungura na Robart na wengine waliotangulia wapo mahali salama na wazidi kuwaombea
 Padri Markmillian Pius akiendelea kuongoza misa hiyo
 Bi Prisica Rwechungura akitoa neno la Misa
 Ndugu Mzee akimuongoza Shangazi yake kuingia ukumbini kwa ajili ya kushiriki Ibada hiyo
Taswira katika picha Ibada hiyo iliyohudhurio na watu wengi ikiendelea
Wanakwaya wakiendelea kushiriki Ibada hii ya nyimbo za mapambio
Muonekana wa wanakwaya Misa Ikiendelea
Wanafamilia ya  Marehemu Daniel Rwechungura wakiwa katika ibada hiyo ya kumbukumbu.
Sehemu ya wanafamilia wakiendelea kushiriki Misa hiyo maalum kwa ajili ya kuwaombea wapendwa wao
Sehemu ya watato wakishiriki Ibada hiyo.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa katika ibada maalum ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jana Dec 12 ,2015 Kijijini Kangandebe.
Sehemu ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali waliohudhuria Ibada hiyo.
Taswira shughuli ya Misa Ikiendelea
Muendelezo wa matukio zaidi ya picha usikose kupitia ukurasa wetu wa facebook
Tukio linalofuata ni Kumbatiza Mtoto Aniela
Padri Markmillian Pius akimbatiza mtoto Aniela, aliyebebwa na Mama yake wa Upatizo Bi Stella Rwechungura
Katikati ni Mama Mzazi wa Mtoto Aniela Bi Prisca Rwechungura
 Ndugu Mzee Rwechungura ambaye ndiye kaka  mkubwa wa familia ya Marehemu Mzee Daniel Rwechungura akitoa neno la shukrani
Ndugu David akiteta jambo na Bi Stella Rwechungura
Mwanamama mwalikwa pichani akifika kushiriki Ibada hiyo
Ikafika wasaa sasa ambapo Padre akawakaribisha waumini waliotayari kupokea
Shughuli hiyo ikiongozwa na Mc David (mwanafamilia )ambaye ni mtangazaji wa Radio 5 Arusha.
 Baadhi ya watu walioshiriki Misa hiyo iliyofanyika jana kijijini Kangantembe Kagondo Bukoba
 Muendelezo wa matukio mbalimbali katika, Shughuli ya Ibada ya misa ya shukurani ya kumkumbuka wapendwa wa familia ya Marehemu Daniel Rwechungura
Simanzi kubwa na huzuni kwa wanafamilia kwa siku hii ya kumbukumbu kwa wapendwa wao.
Ibada maalum  ya kumbukumbu ya wapendwa pichani ,kushoto ni Marehemu Anderew Rwechungura wakati wa Uhai wake, Marehemu Mzee Daniel Rwechungura na Marehemu Robart Rwechungura 
 Padri akiongoza misa eneo la Makaburi
 Taswira eneo la makaburi, Padri Markmillian Pius akinyunyizia maji ya baraka
 Tukio linalo endelea Padri Markmillian Pius akibariki makaburi.
 Padri akisimika Msalaba
 Mjane Bi Emelensiana Rwechungura akiweka Shada la Maua kwenye kaburi la marehemu mme wake
 Bi Stella Rwechungura mtoto wa Marehemu Mzee Daniel Rwechura pichani kushoto akiwepa Mshumaa kwenye kaburi la kaka yake Mpendwa Marehemu Andrew Rwenchungura
 Bi Pietha Mjukuu wa Marehemu Daniel Rwechungura akiweka mshumaa .
Bi Carol  Mjukuu wa Marehemu Daniel Rwechungura akiweka mshumua kwenye kaburi la Babu yake Mpendwa
Bi Stella Rwechungura akiwasha mshumaa juu ya kaburi la Marehemu Baba yake mpendwa
Muonekano wa sehemu ya mbele nyumbani Kijijini kwa Marehemu Daniel Rwechungura .
 Anaonekana mwenye Simanzi Kubwa  Bi Estha Rwechungura.
 Ndugu Mzee Rwechungura akiweka shada la Maua kwenye Kaburi la Mdogo wake Marehemu Andrew Rechungura.
 Bi Stella Rwechungura akimkabidhi mshumaa Kaka yake Ndg David
 Zoezi la kuweka mishumaa likiendelea
 Bi Estha Rwechungura Dada mkubwa wa familia ya Marehemu Daniel Rwechungura.
Wanafamilia katika picha ya pamoja katika kaburi la Mpendwa wao Marehemu Mzee Daniel Rwechungura.
Mama Mzazi wa familia hii, Mjane  Bi Emelensiana Rwechungura katika picha ya pamoja ya kumbukumbu
Katika picha ya pamoja Watoto na Wajukuu wa Marehemu Daniel Rwechungura
 Pichani kulia mwenye Kanzu ni Mr. Katega  aka  Mr Katty ambaye ni mkwe katika familia hii.
 Huduma ya Chakula ikiendelea kutolewa
 Fursa ya kupata huduma ya mnuso ikiendelea
Sehemu ya wadau wakipata msosi
 Mzee akiwa kwenye mstari tayari kujipatia Msiosi safi ulioandaliwa na familia ya Marehemu Daniel
 Huduma ya Chakula ikiendelea kwa watu wote waliohudhuria shughuli hii
 Kinachoendela na watu wote kupata msosi.
Kushoto ni Mr Katega aka Mr Katty katika picha ya pamoja na Mr & Mrs Deo.
Mr & Mrs Deo  Magafu pichani
Wanafamilia katika hili na lile mara baada ya shughuli ya Misa takatifu
Muonekano wa Kaburi la Marehemu Mzee Daniel Rwechungura
 Mzee Deo Magafu pichani akifanya mawasiliano.
 Mtoto Caren  akipata picha ya  kumbukumbu katika Kaburi la Baba yake Mpendwa Marehemu Andrewa Rwechungura
Mtu na Mjomba wake wakibadilishana mawazo
MATUKIO YA PICHA ZAIDI YA 150 YANAPATIKANA KATIKA UKURASA WETU WA FACEBOOK JIUNGE NASI KUPITIA LINK HII KUMBUKUMBU MAREHEMU DANIE RWECHUNGURAKUMBUKUMBU MAREHEMU DANIEL RWECHUNGURA
BUKOBAWADAU BOG tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241

Next Post Previous Post
Bukobawadau