Bukobawadau

NUNUA BIDHAA KWA PUNGUZO LA BEI NDANI YA KABAGO SHOP WAPO MTAA WA ONE WAY BUKOBA


Kuelekea msimu huu wa sikukuu ya Xmas na Mwaka mpya unakaribishwa ndani ya KABAGO SHOP ujipatie bidhaa kwa punguzo maalum kwa jumla na rejareja ,pichani wanaonekana baadhi ya wateja wakinunua bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika duka hilo.

Fika ndani ya KABAGO Shop Ujipatie bidhaa bora kwa mahitaji yako yote ya nyumbani

Kwa mahitaji yako ya Chakula vitu vinavyokaa kwa muda mrefu bila kuharibika, mfano; mchele, sukari ,dawa ya mboga (chumvi) , unga wa mahindi na ngano, sabuni, mafuta ya kupikia, viberiti na mengineyo ambayo nimeshau kutaja ,Vinywaji pamoja na Mizani ya kupimia Uzito fika Kabago Shop

Bidhaa za kila aina kama inavyo onekana pichani

Wanavyo vinywaji vikali, na baridi tena kwa bei nafuu kabisa


Muonekano wa Vinjwaji vya aina mbalimbali ndani ya Kabago Shop

KABAGO SHOP Bukoba Wasambazaji na wauzaji wa jumla wa bidhaa mbalimbali.
Ndani ya KABAGO Shop utapata kutimiziwa haki ya kuchagua aina mbali mbali ya bidhaa na huduma zenye ubora wa kutosha kwa bei nafuu kabisa.

Kabago Shop ndio wauzaji wa aina mbali mbali za mizani zinazotumika katika kupima uzito wa bidhaa.

Kwa mahitaji ya aina mbali mbali za mizani zinazotumika katika kupima uzito wa bidhaa,Wasiliana nao kupitia +255 784 767 636

Baadhi ya wateja wakiendelea kununua bidhaa


KABAGO Shop pia ni wauzaji wa bidhaa za nyumbani kwa bei nafuu
Ndugu Mkulima, ndugu mfanyabiashaa ,ndugu mnunuzi na muuzaji wa bidhaa za Viwandani kwa maendeleo yako binafsi na kwa maendeleo ya Taifa,katika kupata haki yako inategemea na mizani yenye ubora kwa vipimo sahihi

Wapo Haki Street /Barabara ya Oneway jirani kabisa na Duka la Step Inn lilipo Jengo la kitega uchumi la Chama Kikuu cha Ushirika (KCU Ltd)KCU mjini BUKOBA.

Nunua kwa Punguzo babu kubwa vitu mbalimbali ndani ya Kabago Shop

Mwisho BUKOBAWADAU MEDIA Tunakutakia maandalizi mema ya sikukuu za Christmas na Mwaka mpya

BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau