Bukobawadau

Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas - NATIONAL COSTUME

Picha ya Lorraine Marriot -Miss Universe Tanzania 2015 akiwa Las Vegas - NATIONAL COSTUME

Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa 'Angel of Ivory' maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu. Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim. Pia kabeba fimbo la kimasai iliyonakshiwa na rangi za taifa.
Rangi nyekundu ni alama ya damu ya tembo iliyomwagika na kusafishwa na malaika huyu

Credits
Lorraine Marriot, Miss Universe Tanzania 2015 debuts her National Costume on stage at Planet Hollywood Resort & Casino Wednesday, December 16, 2015. The 2015 Miss Universe contestants are touring, filming, rehearsing and preparing to compete for the DIC Crown in Las Vegas. Tune in to the FOX telecast at 7:00 PM ET live/PT tape-delayed on Sunday, Dec. 20, from Planet Hollywood Resort & Casino in Las Vegas to see who will become Miss Universe 2015. HO/The Miss Universe Organization
Keywords: Miss Universe 2015, Rehearsals
Photographer: Richard D. Salyer
Next Post Previous Post
Bukobawadau