Bukobawadau

TUJIKUMBUSHE MATUKIO KATIKA SEND OFF PARTY YA MREMBO IRENE KAYUNGA

Matukio yaliyojiri wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri katika maisha yake mapya ya ndoa ambayo anataraji kuifunga hivi karibuni Jijini Dar.
 Kila mmoja alipenda namna Mtarajiwa na Mpambe wake walivyo pendeza
 Akiingia katika ukumbi Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga wakati wa sherehe ya kumuaga 'Send off party' kulia ni mpambe wake Shemsa Self.
 Mangoma ya Kinageria yakichukua kasi Ukumbini...wakati Bi harusi mtalajiwa anaingia
 Moja ya picha zilizotokezea ile ile au mle mle,furaha aliyonayo Irene pamoja na meds au warembo wa kike walioweza kuvutia na Maneno nonstop kutoka kwa Mc Jerry akishirikiana na mwenzake. 
 Ilikuwa tabu kidogo ukumbini, kufuatia show kali wakati Bi Irene Kaunga akiingia ukumbini akiambatana na Walimbwende wenzake
 Jionee meds au warembo wa kike walivyopendeza wakati wanaingia katika Ukumbi.

 Mc Jerry akijaribu kuonyesha kingine cha ziada kutoka kwake.
 Hakika ilikuwa tabu kidogo, palichimbika ndani ukumbi wa Bukoba Club.
 Mzee Baruti na Mkewe ambao ni wazazi wa Bwana Harusi mtarajiwa  wakiwa wameongozana na wageni wengine.
Wageni  upande wa Bwana harusi mtarajiwa wakisubiri kupokelewa na upande wa pili.
 Mzee Kasimbazi na Mkewe wakiwa wameinuka tayari kwa kuwapokea wagaeni
Wazazi wa Irene wakiwapokea Wazazi wa Ndugu Ruge kama anaovyo onekana  pichani
 Mr &Mrs Baruti wanasalimiana na Mr&Mrs Kaunga.
 Upande wa Bwana Harusi wakifurahi namna mambo yanavyo endelea ukumbini.
Katika hili na lile wanaonekana Washirika wa Bwana harusi mtalajiwa.
Katika kutoa updates kwa marafiki zetu ambao awaakuweza kuhudhuria shughuli ya Irene
 BUKOBAWADAU BOG tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Naaam anaonekana kufurahia Jambo Ndugu Ruge katikati ya marafiki zake.
Ni kwamba kinachoendelea sio maajabu lakini hii ni moja ya Send off  bora kuwahi kufanyi bukoba.
Muonekano wa kitu keki, iliyo andaliwa na Mama Simeo.
Ilifikia wakati wa kukata keki
Tayari kwa ajili ya zoezi la kukata keki.
Bi Harusi mtarajiwa Bibie Irene (Kulia)akisaidiwa na matroni wake kukata keki Kwenye Sendoff yake iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bukoba Club.
 Kutoka maeneo ya Bugashane-Mugeza pichani ni Dada wa Bwana Harusi Mtalajiwa
 Mama Field na Mama Stella pichani, sehemu ya waalikwa.
Mr &Mrs Edgar Lutalaka
 Mdau akiteta Jambo na Mr. Ruge Baruti
 Mr &Mrs Ndamukama.
Anaonekana akishow love ni Mama Muhazi na Mwanae, pembeni yupo Mama Matungwa
Kushoto ni Mama Achi katika picha na Mzee Asiel
 Sehemu ya Waalikwa wakisikilizia kinacho.
 Watoto wa mjini siku zote utawajuwa tu!!
Mtarajiwa akiwa tayari kupokea zawadi
Kupokea zawadi kutoka kwa Mama wa Ubatizo.
 Mdau Jamal Kalumuna akitoa mkono wa pongezi mara baada ya kukabidhi zawadi
 Mrs Deo Lugaibula akitoa mkono wa pongezi
  Vifurushi vya zawadi  vikiendelea
 Hii ni baada ya Mc Jerry kutaja majina na sifa za wanadada pichani waliotokea Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpa support rafiki yao biharusi mtalajiwa Irene Kayunga
 Marafiki wa Bi Irene wakiwa tayari kutoa neno kidogo baada ya kukabidhi zawadi zao.
 Zawadi ya Cheni ya dhahabu kutoka kwa mawifi zake.
 Hakika kuhusiana na matukio hunabudi  kujiunga na page yetu ya facebook kwa picha nyingine zaidi
 Matron naye anavalishwa zawadi yake.
Ukodak live 'wakinongonezana'
 Sehemu ya jamaa wa familia wakifuatia na waalikwa kutoa zawadi na kumpongeza Bi Irene.
 Upande wa mawifi zake kutokeafamilia ya mzee Baruti wakitoa pongezi zao
 Mau wa Daftari akifuatana na Mama Chui na London.
 Mama Mkude akifutana na Mama Ruby.
 Wanaonekana majirani kutoka Namkazi
 Ni muda sasa wa kupata chakula.
 Sehemu ya Waalikwa wakipata msosi.
Bi Amina Jumbe na Bi Rukia
Mama Janath Kayanda na Super Self Mkude
 Burudani  kama kawaida tunachoweza kusema ni kwamba watu wote walikuwa wamechangamka na walikuwa wakicheza
 Watu wakicheza kwa furaha. 
  Ngoma za hasili kutoka nchini Uganda ilikuwepo ukumbini na Muziki uliokuwa ukirindima ndani  ndani ya ukumbi wa Bukoba Club.
 Burudani
Mzee Cathbert Basibila akishangweka na Chupa ya Kinywaji mkononi.


Mr Ruge Baruti ambaye ni Bwana Harusi mtaraziwa akiserebuka na Mkewe mtarajiwa.
 Mzee Kayunga Baba Mzazi wa Bi harusi mtarajiwa akitoa neno
 Ndugu wa familia wakitoa neno baada ya zawadi ambayo kwao imesimama kama Sadaka maalum ya kuilinda Ndoa yao inaotarajiwa hivi Karibu.
 Kutoka Jijijini Dar ni Rafiki wa karibu wa Bi Irene 'Katiga wake' toka wakiwa masomoni.
 Mr. Mike Mwemezi Muhazi akitoa neno kama rafiki na Kaka wa familia,katikati ni Ndugu Anthony Kayunga Kaka Mkubwa wa Bi Irene Kaunga.
Wanakamati ya maandalizi ya Shughuli hii katika picha ya pamoja na Bi Irene Kayunga.
 Matukio katika shughuli ya send off ya Bi Irene Kayunga ililiyofanyika Jana katika ukumbi wa
Shughuli Ya Mapambo imewekwa vyema na Mama Matungwa,Mamsosi ya uwakika chini ya Mama Achi

Wakati wabunifu mbalimbali wa mavazi ulimwenguni wakiendelea kuleta mitindo mipya katika tasnia hiyo ,kwa usiku huu kivutio kikubwa ni Vazi la Upande wa Bwana Harusi Mtalajiwa Mtoto wa Mlangira Baruti .
 Matukio mengineyo katika picha za Warembo hawa zilizochukuliwa Transit Hotel The Walkgard maalum kwa ajili ya kumbukumbu.
 Mapemba ukumbini kabla ya Wageni kuingia
 Taswira ya Mapambo ya Ukumbini ni kazi ya yule yule aliyebobea katika kufanya kazi hiyo kwa muda mrefu Mkurugenzi Transit Hotel The Walkgard Mama Adventina Matungwa
Hakika ukumbi umependeza mno,Ndugu yetu Mdau Unapofanya maamuzi ya rangi zako za Harusi jitahidi kuchagua rangi kwendana na wakati au waweza kuwasiliana na wataalam wa mambo haya kama walivofanya Familia ya mtarajiwa Irene Kaunga.
 Daaah jamani watoto hawa wamependeza.
 Wakati Wageni kutoka upande wa Bwana Harusi Mtalajiwa wakiingia ukumbini
 Wakati wazazi wa Bi Irene Kaunga Wanaingia Ukumbini
 Mc Jerry  akifanya yake
JIUNGE NA UKURASA WETU WA FACEBOOK KWA KUGONGWA LINK HII>> Bukobawadau Entertainment Media KWA PICHA ZAIDI YA 200 KUHUSIANA NA SHUGHULI HII.


Next Post Previous Post
Bukobawadau