Bukobawadau

HAFLA YA LUGOYE DAY ILIYOFANYIKA KIJIJINI KASHEKYA- GERA DEC 27,2015

Baadhi ya wanachama wa  Kikundi 'Lugoye Social Club'  kinachojumuisha wanaume 20 kutoka katika Kata za Ishozi, Gera na Nshunju  wakiwa katika sala ya ufunguzi wa hafla yao iliyofanyika nyumbani kwa  Mzee Josian Munazi wa mwisho pichani kulia.
 Sehemu ya wanachama wakati hafla hiyo ikiendelea, kutoka kushoto ni Bw.Wenceslaus Rwiza,Bw. Charles Mbelwa,Prof Ladislaus Lwambuka,Eng.Erasto Machume akifuatiwa na Eng. Josephat Byemerwa mwenye tai nyekundi.
Sehemu ya wanawake wanachama wa 'Lugoye human Group'
Mr. Ben Mulokozi katika picha na Adv.Erasmus Buberwa wanachama wa Lugoye.
Wana Lugoye wakiendelea kufurahia hafla yao
Bwana Charles Mbelwa akiteta na mwanachama mwenzake Bw. Gosbart Matambula
Mzee Josian Munazi mwanachama Lugoye, mwenyeji wa hafla hii.
Baadhi yaWazee waalikwa kutoka maeneo mbalimbali
Mlangira Kataruga akipitia lisala iliyosomwa na Diwani wa Kata ya Gera
 Ndugu Willy Bukobatours Rutta,Diwani kata ya Ishozi akitoa neno katika hafla hiyo .
Sehemu ya kikundi cha wanawake wa Lugoye kinachojumuisha wanawake walioolewa Ishozi, Gera na Nshunju wanaoishi Dar es Salaam ikiwa ni jumla ya akina mama 20 ingawaje hapa wapo wachache kutokana na baadhi ya wenzao kuwa na majukumu mbalimbali,nia na majukumu yao ni kusaidiana katika shida na raha pamoja na kusaidia jamii katika kutatua matatizo mbalimbali yanayo wakumba.
Wanawake wa Lugeye wakikabidhi msaada wa Vitabu kwa Uongozi wa Shule ya Kashekya wakati wa halfa ya ya mwaka  iliyofanyika iliyofanyika Nyumbani kwa Josian Munazi siku ya jumapili Dec 27,2015
 Zoezi la kukabidhi vitabu hivyo  thamani ya shilingi milioni moja na elfu hamsini.
Uongozi wa Shule ya Msingi Kashekya ukisoma risala maalum kwa Wanawake wa Lugoye ambao umoja wao ulianza  kwa kusaidia makundi ya watu mbalimbali wenye matatizo kama vile waathirika wa Ukimwi,watoto yatima,wanane n.k hasa walioko mkoani Dar es salaam.Lakini tangu mwaka 2010 waliona wasaidie wahitaji waliopo nyumbani na walianza kwa kutoa msaada katika shule ya sekondari ya Lugoye iliyoko kata ya Ishozi na mwaka 2011 waliweza kutoa msaada katika Dispensari ya kyelima iliyoko kata ya Ishinju
 Bukobawadau Media tunatoa pongezi kwa WanaLugoye kukumbuka walikotoka na kusaidia jamii katika kutatua tatizo mbalimbali hasa ya Elimu na Afya.
Mzee Josian Munazi na mke wake katika picha ya pamoja
  Haji Kibaizi akipata Coka baridi katika hafla hiyo
Kama wanavyo onekana pichani Eng. Erasto Machume na Eng. Josephat Byemerwa
Kushoto ni Mdau mkubwa wa harakati za maendeleo Ndg Aseri Katanga
Tukio wakati Uongozi wa Kijiji ukimkabidhi zawadi ya Kuku Mzee Josian Munazi
Viongozi mbalimbali ngazi ya Kijiji na Kata waliweza kutoa shukani pamoja na Kuelezea changamoto walizonazo
 Neno kutoka kwa mwenyeji wa hafla hii Mzee Josian Munazi pichani
Waalikwa ukumbini
Mh. Diwani wa Kata ya Gera wakati akifanya utambulisho wa viongozi mbalimbali
Pichani ni Prof.Joseph Kahamba ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kikundi kinachojumuisha wanaume 20 kutoka katika Kata za Ishozi, Gera na Nshunju kijulikanacho kama  'Lugoye Social Club'akiongea katika hafla ya mwisho wa Mwaka iliyofanyika Kijijini
Wadau wakiwa wamesimama kumpongeza Mwenyekiti Prof .Kahamba
Hotuba fupi kutoka kwa Prof.Joseph Kahamba na sehemu ya matukio mengine yatapatika katika Video yetu hivi punde.
Mzee Matambula akipata huduma ya Chakula.
Ndugu Wenceslau Rwiza akipata wakati wa kupata huduma ya Chakula.
Huduma safi ya Chakula ikiendelea
Wananchi kutoka maeneo ya jirani wakiwa wameweza kushiriki kikamilifu katika hafla hii ya WanaLugoye
Utaratibu wa kupati huduma ya chakula ukiendelea kwa watu wote
Pichani anaitwa Omwana Florida Lutinwa akifuatilia kinachojiri
Neno kutoka kwa msemaji wa (Lugoye Woman Group)
 Mlangira Ben Kataruga mwanachama 'Lugoye Social Club' akisalimiana na Msafiri Mh. Diwani kata ya Ishungu
Mr. Gosbert Matambula akibadilishana mawazo na Mlangira Alkadi Kataruga mkazi wa Gera
Mr.Ben Mulokozi mwanachama wa 'Lugoye Social Club' katika picha ya pamoja na Haji Kibaizi.
Mlangira Ben Kataruga akiteta jambo na rafiki yake Mh. Msafiri ambaye ndiye Diwani wa Kata ya Ishunju
Wadau na Wanachama wa Lugoye wakisalimiana na Haji Kibaizi
Kutoka kushoto ni Mdau Ruta Lwabigene na Mdau Bushira
Muendelezo wa matukio ya picha.
Mwenyeji wa hafla hii Mzee Josian Munazi akiendelea kuwakarisha wageni waalikwa
Muendelezo wa matukio ya picha wanachama wa Lugoye wakiendelea kufurahia hafla yao ya kufunga mwaka
Sherehe ikiendelea wadau wakibadilishana mawazo
Meza kuu anaonekana Mwenyekiti wa Luguye Prof Jodeph Kahamba na kulia ni Mh. Diwani wa kata ya Gera.
Bw.Wenceslaus Rwiza na Bw. Charles Mbelwa wanachama wa  'Lugoye Social Club'
Waalikwa ukimbuni
Pichani ni Baba Mzazi Mzee Josian Munazi
Omwami kazi Apolonia Lutinwa wa Gera ni sehemu ya waalikwa
Mwanadada akisogea eneo la tukio kupata kushuhudia burudani inayoendelea .
Umati wawananchi wakiendelea kfurahia hafla ya Lugoye Day
Baadhi ya wanachama wa lugoye kutoka kushoto pichani ni Prof Ladislaus Lwambuka,Eng.Erasto Machume na Eng. Josephat Byemerwa
Salaam kutoka kwa Mwenyekiti wa Ruzinga Day 205 Bw. Aspon Mwijage
Mzee Josian Munazi akiendelea kufuatilia matukio yanayojiri ukumbini
Mdau John Mulokozi pichani
Waalikwa wakiendelea kupata kinywaji na kubadirishana mawazo
Taswira mbalimbali ukumbini wakati hafla ikiendela
Mwenyeji wetu Mzee Josian Munazi akiwa amekaa na baadhi ya Wazee waalikwa
 Moja kati ya picha wakati Mlangira Ben Kataruga akiwasili na marafiki zake kushiriki hafla hiyo, kushoto ni Bw.Rashid Rwehumbiza na kulia ni Kijana Bushira.
 Mlangira Ben Kataruga.
 Ule usemi wa duniani watu wawili wawili umedhiiika kwa mkazi wa Kata ya Gera picha ambaye ukibahatika kukutana naye utadhani ni Mh. Karume.
 BUKOBAWADAU MEDIA TUNATUMIA FURSA HII KUWAOMBA WADAU WASOMAJI POPOTE PALE TUPATE FURSA YA KUSHIRIKISHWA KATIKA SHUGHULI YOYOTE ILE YA KIJAMII KWA KUPEANA TAARIFA KUPITIA No. 0784 505045, 0713 397241 , 0754  505043au  EMAIL bukobawadau@gmail .com
 BUKOBAWADAU WADAUBO tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241



VIDEO STEEL LOADING..........
Next Post Previous Post
Bukobawadau