Bukobawadau

FM Academia 'Wazee wa Ngasuma Watikisa Mji wa Bukoba Siku ya Mwaka Mpya

 Shangwa za Mwaka Mpya na Ngwasuma ndani ya Club Linas Chini ya Udhamina KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd ambayo ni wasambazaji wa bia ya Windhoek.
Wanenguaji wa bendi ya Fm Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Linas Night Club
Mr.Ben Mulokozi katika Chombeza  ,kulia Mlangira Kataruga akimtunza rapa wa Fm Academia.
Anaonekana Mc Jerry na wapenzi wa Ngwasuma wakifurahi Usiku wa mwaka mpya
Jukwaa likiendelea kushambuliwa na timu ya wanenguaji wa Fm Academia
Matukio ya picha ukumbini
 Mdau Frenk Manchester akisebeneka na Ngwasuma, pichani kushoto kwake ni Mdau Ruga Baruti
Mwanadada akiwatunza wasanii wa bendi ya fm Academia wakati wakiwa jukwaani wanaimba.
Ni mwendo wa Kadansee kuanzia mbili Usiku mpaka 10 Alfajiri hakika ilikuwa hatari Bk.
Meza ya Fr James na Mke wake ambao ndiyo wakurugenzi wakuu w wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wasambazaji wa kinywaji cha  Windhoek
 Meza ya watu mashuhuru ukumbini wenye upendo kwa watu ni Ben & Ben
Mambo yakiendelea kunoga Ukumbini
 Mkubwa Alex Mtiganzi pichani kushoto akishow love na Mpambanaji Rahym Kabyemela
Mr Rahym Kabyemela na Swahiba Farid Lugusha.
Pacho mwamba na Nyoshi jukwaani
Kushoto ni Mdau Mpambanaji Haidary ,kulia anaonekana Mlangira Ben Kataruga akielekea kukaa
Meza ya Mdau Lenus Kashaija, yupo na Bi Jovitha.
Fr. James Rugemalira mdau wa maendeleo ya Bukoba akirejea ukumbini.
Yote haya ni kwa Udhamini Mkubwa wa Kinywaji cha Windhoek
Windhoek ikiendelea kuchukua kasi Ukumbini

 Mashabiki wa Ngwasuma full kusebeneka ndani ya Linas

 Kiongozi wa bendi ya FM Academia, Nyoshi El Sadati (kulia) akiwaongoza wanamuziki wa bendi hiyo Usiku wa jana tarehe 1,Jan 2016 ndani ya Ukumbi wa Linas Night Club ikiwa ni sehemu ya promosheni ya bia ya Windhoek
Wadau ukumbini wakipagawa na burudani
 Wadau wakifuatilia burudani Ukumbini
Burudani ikiendelea
Mdau Rutta wa Mabibo pichani kushoto, katikati ni Mhasibu wa Band ya Fm Academia Mr.Kelvin
Rais wa FM Academia Nyoshi el Saadat akiongea machache kabla ya kumtambulisha Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wilfred Lwakatare
Taswira mbalimbali Usiku wa Ngwasuma ndani ya Ukumbi wa Linas Jan ,2016
Beatrice Ndawonyi Mongi Muyeya na Bi Jamila wakifuatilia burudani
BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043,0715 505043 ,0768 397241
Next Post Previous Post
Bukobawadau