Bukobawadau

KUHUSU KUBENEA BUNGENI

Kumetokea mkanganyiko/mgongano wa mawazo na mabishano katika viunga mbali mbali nchini, kuhusiana na kauli alizozitoa Mbunge wa Ubungo Saeed Kubenea wakati akiomba muongozo kwa mwenyekiti wa Bunge mapema leo asubuhi kuhusiana na tukio la juzi Askari kuingia Bungeni na Wabunge kadhaa kuumia.
Wananchi kadhaa wamesema kauli zake zina udhalilishaji kwa Wanawake, huku Wengine wakidai alikuwa akitetea.
"Wabunge wanawake walidhalilishwa na Polisi juzi, walivuliwa nguo za ndani, SHANGA na Hereni zao"
Uonavyo wewe amedhalilisha au ametetea??
Next Post Previous Post
Bukobawadau