Bukobawadau

NYUMBA INAUZWA KASHAI BUKOBA

Nyumba ipo maeneo ya Kashai-Kashenye Mjini Bukoba ,Nyumba ni kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina vyumba viwili na jiko pamoja na choo chake
 Taarifa za kiwanja/nyumba ilipo; 1. Certificate of Tittle no 9930 2. Land/location: Plot no 159, Block 'AA' Kashai-Kashenye Bukoba Township.
 Madalali hawatakiwi tafadhali Ukiihitaji mpigie Mhusika namba 0713 481813
 Muonekano wa ndani wa nyumba hiyo
 Muonekano wa usawa wa ukuta wa nyumba
Nyumba ipo barabarani kabisa,Madalali hawatakiwi tafadhali Ukiihitaji mpigie Mhusika namba 0713 481813
Next Post Previous Post
Bukobawadau