Bukobawadau

RC JOHN MONGELLA AONGOZA MAZISHI YA BI RAULENSIA KOKUHILWA NTAKILOHI JAN 24,206

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella aongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa Bi Raulensia Kokuhilwa Ntakilohi (1943-2016)
Shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa Ntakilohi imefanyika Nyumbani kwake Kijijini Nshambya -Rubya na kupumzishwa katika nyumba yake ya milele kwenye makaburi yaliyopo shambani nyumbani kwake Nshambya -Rubya Wilayani Muleba siku ya Jumapili Jan 24,2016

 Picha ya Marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa Ntakilohi (1943-2016) wakati wa Uhai wake.


 Baadhi ya waombolezaji wakiendelea kufuatia Ibada ya mazishi ya Marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa Ntakilohi yaliyofanyika Nyumbani kwake Kijijini Nshambya-Rubya Jan 24,2015




 Padre akiweka Udongo kwenye Kaburi
 Padre akiweka Udongo kwenye Kaburi
 Shughuli ya kuweka Udongo ikiendelea.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. John Mongella akiweka Udongo kwenye kaburi la Marehemu mpendwa wetu Bi Raulensia Kokuhilwa
Mzee Onesmo Niyegira akiweka Udongo kwenye Kaburi la Marehemu Bi Raulensia
 Simanzi kubwa kwa Watoto wa marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa Ntakilohi wakati mazishi yakiendelea
Baadi ya Watoto wa marehemu kutoka kushoto ni Bw. Joseph, katikati ni Dellefnius na mke na wa mwisho kulia ni mmoja wa wajuu wa Marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa
 Bwana Fabian Kalikawe (katikati)akifuatiwa na Chief Mwakibene na Bwana Vicent Peter Bushaija
 Taswira waombolezaji wakiendelea kushiriki Shughuli ya mazishi hayo
 Bw.Florence Angelo (Bandali) na Bwana K.Tibakyenda pichani
Mmoja wa watoto wa Marehemu Bw, Dellefnius na mke wake wakiweka shada la maua
 Wawakilishi kutoka Jijini Dar es Salaam wakiweka shada la maua, kushoto ni Ndugu John Kiongozi
 Mzee Kiologwe Mkwe wa familia akiweka Shada la maua

 Bw.Laurens  ambaye ni Mtoto wa Marehemu akishiriki tukio la kuweka shada la maua
 Bi Cylivia Mtoto pekee wa Kike wa kuzaliwa na Marehemu Bi Raulensia akiweka shada la maua
 Bwana Cypinian Mushumba na familia yake wakiwa tayari kwa ajili ya kuweka shada la maua
Ctpirian Mushumba ambaye ndiye mtoto mkubwa wa Marehemu Bi Raulensia Kokuhilwa akishirikiana na familia yake kuweka shada la maua kwenye kaburi la mpendwa wao
 Matukio zaidi ya picha yanaendelea hivi punde
BUKOBAWADAU MEDIA Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yako Bi Raulensia Kokuhilwa na kukuangazia mwanga wa milele.Upumzike kwa amani.AMEEN!!
 ENDELEA KUWA NASI KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA...........
Next Post Previous Post
Bukobawadau